karibu
Inakutangazia masomo ya tuition Kwa kidato cha kwanza hadi cha sita kwa masomo yote yaani ya SAYANSI na SANAA katika majengo ya kanisa katoriki madizi karibu na soko kuu la TASAF Ø Tuition itaanza tarehe 05/06/2017 kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa saba kamili mchana Ø Ada itakuwa ni shilingi Elfu kumi tu kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne (10,000/=) Ø Kwa kidato cha tano na sita ada ni 25,000 kwa masomo ya sanaa na 30,000 kwa masomo ya sayansi Ø Walimu waliobobea katika masomo haya wapo na wakutosha Ø Study tour ( safari za kimasomo hasa katika vivutio vya utalii ) itakuwepo kama ilivo desturi yetu. Ø Kituo kitatoa chakula cha asubuhi yaani chai na uji kila siku za masomo Ø Vitini vya masomo vitapatikana kituoni kwa bei rahisi kabisa Ø Kwa kidato cha pili na ch...